FATHERS LOVE LETTER .COM
  • Home
  • About
    • About
    • Contact
    • Copyright
    • Donate
    • FAQ
    • Our Vision
    • Our Websites
    • Privacy Policy
    • Terms of use
    • The Story
    • What We Believe
  • Media Formats
    • Media Center
    • HD Video
    • 25th Anniversary Video
    • Vertical Video
    • Video History
    • Stores
    • Text
    • Audio
    • Kids FLL
  • Languages
  • God and You
  • FLL Book
    • Devotional Index
    • Free Audiobook
    • Free eBook

Swahili
Father's Love Letter

The Swahili Father's Love Letter is currently available
in the following formats:
1. An audio MP3 narration format
2. An instrumental video version
3. An online text format.
(Please feel free to copy this text and design your own version
of the Swahili Father's Love Letter.)
Swahili Father's Love Letter Audio Narration
Picture
Download The Swahili Father's Love Letter Narration
File size: 7 MB
Recording Length: 6:49 minutes
download swahili fll mp3 audio

Swahili Father's Love Letter Video
Video Courtesy of Nico Boyadjian

Swahili Father's Love Letter
Barua ya upendo wa Baba

Mtoto wangu


Yawezekana yakuwa hunijui
lakini najua kila kitu juu yako
Psalm 139:1

Najua kukaa kwako na kuondoka
Psalm 139:1

Nazifahamu njia zko zote
Psalms 139:3

Hata nywele juu za kichwa chako najua hesabu yake
Matthew 10:29-31

Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wangu
Genesis 1:27

Ndani unaishi na kutembea
Acts 17:28

Kwa sababu wewe ni lipuko langu
Acts 17:28-1

Nakujua kabla ya kuudwa
Jeremiah 1:4-5

Nalikuchgua wewe nilipopanga kuumba ulimwemgu
Ephesians 1:11-12

Hakuna makosa kwa sababu hata siku
zako zimeandikwa katika kitabu changu
Psalms 139:15-16

Niliona chauku juu ya kuzaliwa
kwako na mahali utakaa
Acts 17:26

Wewe ni wa kuogofyia na uliumbwa kwa ajabu
Psalms 139:14

Nalikuunda pamoja katika tumbo la mamako
Psalms 139:13

Nikakuleta siku uliyozaliwa
Psalms 71:6

Nimekosa kujulikana na kuwakilishwa nao wasio nijua
John 8:41-44

Sijakasirika lakini nimekamilika katika upendo
1 John 4:16

Na ni mapenzi yangu kukuonyesha upendo wangu kwako
1 John 3:1

Hii ni kwa sababu wewe ni mwanangu na mimi ni babako
1 John 3:1

Nimekupa mambo ambayo babako wa
duniani hawezi kukupatia
Matthew 7:11

Kwa sababu mimi ni baba mkamilifu
Matthew 5:48

Kila kipawa kizuri hutoka mikononi mwangu
James 1:17

Kwa sababu mimi nakupa mahitaji yako yote
Matthew 6:31-33

Mipango yangu kwa ajili yako ni kwa
sababu nakupenda na upendo wa milele
Jeremiah 31:3

Mawazo yangu kwako haiwezi kuhesabika ni kama
mchanga wa baharini
Psalms 139:17-18

Najifurahisha na vipaji vyako
Zephaniah 3:17

Sitaacha kukufanyia mazuri
Jeremiah 32:40

Kwa sababu wewe ni akibe yangu
Exodus 19:5

Napenda kukutangaza kwa moyo wangu na nia yangu
Jeremiah 32:40

Napenda kukuonyesha mambo makuu usiyoyajua
Jeremiah 33:3

Uknitafuta na moyo wako wote utanipata
Deuteronomy 4:29

Nitegemee mimi nami ntakupa mahitaji ya moyo wako
Psalms 37:4

Kwa sababu ni mimi huwapa
watu mahitaji ya moyo yao
Psalms 37:4

Maana ni mimi ninayekupa hayo mahitaji yako
Philippians 2:13

Ninao uwezo wa kukupa zaidi
kuliko vile unavyo weza
Ephesians 3:20

Kwa sababu mimi ndiye ninakupa nguvu
2 Thessalonians 2:16-17

Tena mimi ndiye ninayewapa wanaohitaji mahitaji yao
Psalms 2:13

Ninao uwezo wa kukufanyia makuu kuliko unaofikilia
Ephesians 3:20

Kwa sababu mimi ndiyo ninayekupa nguvu
2 Thessalonians 2:16-17

Tena mimi ni baba anayekufariji wakati wa shida yako
2 Corinthians 1:3-4

Wakati moyo wako umevunjika niko karibu kukufariji
Psalm 34:18

Kama mchungaji anavyo mchukua mwana kondoo
nimekuchukua ndani ya moyo wangu
Isaiah 40:1

Nitayapanguza machozi ndani ya macho yako
Revelation 21:3-4

Na maumivu yako nitayaondoa uliyoyapata hapa duniani
Revelation 21:3-4

Mimi ni babako na nakupenda kama
nimpendvyo mwanangu yesu kristu
John 17:23

Kwa sababu ndani ya yesu
upendo wangu huonekana
John 17:26

Yeye huniwakilisha kuweko kwangu
Hebrews 1:3

Alikuja kuonyesha kuwa mimi niko nawe si kinyume chako
Romans 8:31

Yesu alikufa ili mimi na wewe tuunganishwe na mungu
2 Corinthians 5:18-19

Kifo chake kilionyesha upendo wake kwako
1 John 4:10

Nilitoa yote na nikakupenda ili nawe
upate sehemu ya upendo wako
1 John 1:23

Hakuna chochote kinachoweza
kututenganisha na upendo wangu
Romans 8:38-39

Karibu nyumbani nitaandaa karamu
ambayo haijaonekana huku mbinguni
Luke 15:7

Nimekuwa baba yako na nitaendelea kuwa baba yako milele
Ephesians 3:14-15

Swali langu kwako,
je unaweza kukubali kuwa mwanangu?
John 1:12-13

Nakungojea wewe leo
Luke 15:11-32


Nakupenda huyu ni babako
wa mbinguni Mungu



ACKNOWLEDGEMENTS / PERMISSION:
Special thanks to David Jones for providing the Swahili Father's Love Letter translation.
Please feel free to copy and share all of the resources on this page as long as you do so free of charge.

About Us

About
The Story
Copyright

Get Involved

FAQ
Terms of Use
Our Websites

Connect

Contact
Privacy Policy
Donate
© COPYRIGHT 2025. ALL RIGHTS RESERVED.
  • Home
  • About
    • About
    • Contact
    • Copyright
    • Donate
    • FAQ
    • Our Vision
    • Our Websites
    • Privacy Policy
    • Terms of use
    • The Story
    • What We Believe
  • Media Formats
    • Media Center
    • HD Video
    • 25th Anniversary Video
    • Vertical Video
    • Video History
    • Stores
    • Text
    • Audio
    • Kids FLL
  • Languages
  • God and You
  • FLL Book
    • Devotional Index
    • Free Audiobook
    • Free eBook